Sunday, June 22, 2014

BALAA JINGINE KUTOKA YESU OKOA MITAA A.K.A {YOM} HILI HAPA NI MVUA YA BARAKA ITAMWAGIKA PALE HEROS HOTEL {GAZUKO}

Itakua tar 29 june 2014 pale Heros hotel akiwa na waimbaji kibao Matendo andrew akiwepo pia. Matendo andrew ndie mwimbaji wa kwanza akitegemea kuingiza album yenye nyimbo 20 sokoni mwaka huu japo hajasema ni mwezi gani lakini kila kitu kipo tayari akisema audio itakua na nyimbo 20 na video itakua na nyimbo 9.  pia katika siku hiyo ya pekee kwa wakazi wa dar es salaam GAZUKO ataimba wimbo wake alio imba na Matendo Andrew unaoitwa ASANTE SANA. lakini Matendo Andrew ataimba wimbo wake ambao hajawahi kuimba popote unao itwa talk to me. zikifuatia na nyingine kama ndani ya yesu, usinipite, i thanks god na nyingine nyingi saaana. sikiliza hapo chini baadhi ya nyimbo zitakazo imbwa.


 Mpe surport Matendo Andrew kwa kununua nyimbo hizo kua mlio wa mpigaji, na Mungu atakubariki.
Matendo Andrew
                                                               GAZUKO
                                                                   GAZUKO


0 comments

Post a Comment