MASAI NYOTAMBOFU
Wachekeshaji mahiri wa hapa nchini Tanzania jumamos ya tarehe 29 ya
mwezi wa3 mwaka huu watawasha moto pande za ELA GOSPEL CLUB iliopo mbezi
beach kituo cha shule ulizia MAKHOT HOTEL
Wasanii hao watakuwa pande zile kuanzia mida ya saa tatu usiku kwa ajili
ya kumsindikiza rafiki yao ambaye anafanya muziki wa gospel hip hop
anayefahamika kwa jina la Gazuko ambaye ameandaa tamasha lake
alilolipatia jina la "THE NIGHT OF GAZUKO CONCERT"
KINYAMBE
Wachekeshaji hao wamesema kuwa siku hiyo wamejipanga vya kutosha kwa ajili ya kumsapoti rafiki yao
MASAWE MTATA WA ZE COMEDY YA EATV
...
burudani hiyo itadondoshwa kwa kiingilio cha shilingi elfu tano tu. kwa maelezo zaidi piga hapa 0657985598.
mwimbaji huyu ni hatari saana kwa vocal na ni mkari wa chorus atakuepo
akiwa katika pozi ni matendo andrew atakuwepo pale ela club na ndani ya yesu ndio nyimbo yake
Saturday, March 22, 2014
ni usiku wa gazuko pale ela club ni majanga ya dhati check hapa...........
Posted by
Unknown
at
6:36 PM
Tags :
0 comments
Post a Comment