Umeme wa jenereta ulisaidia kwa kiasi chake vijana wakijipanga kukamua
Wakali wa live music wakishuka stejin kwa huzuni baada ya kumaliza kuimba kwa shida saana {umeme}
Wadau wakienda sawa
Ni mke wa mtu fulani ila nimemsahau
Mcheza miduku ya yesu aki show love na mimi
Mda wa sadaka weeeeee wakaletwa mbele wadada warembo eti ndio waimbishe nyimbo kavukavu {umeme}
Kama kawaida
Mbele kwa mbele
Mchungaji na mkewe waki taniana kidogo
Mwana wa gospel hip hop kabla ya ku chakaza jukwaa!
Mwimbaji MILIAN LUKINDO alikuepo joh!
Hawa jamaa ni Matendo andrew mgeni ni gospel singer na Jackison Mgeni nae ni Gospel singer walikuepo
1 comments
Bwana azidi kukuinua mtumishi, kwa kazi njema, binafsi nimefarijika Na nina jivunia kupata jembe jipya la yesu kutoka Makadupa Isimani Iringa Tanzania, Tutazidi kukuombea mpendwa @ Matendo Endrew uzidi kusonga mbele katika kazi hii njema ya kumtangaza Bwana wa Mabwana Yesu Kristo, Ubarikiwe mtumishi kwa kushea nami najua ni upendo.
Amen.
Post a Comment