Monday, March 24, 2014

JE! UNAHITAJI KUJUA PASAKA YA 2014 HADI 2020 ITAKUA LINI? BOFYA HAPA...............

Ikiwa unahitaji kujua tarehe za pasaka kuanzia mwaka huu mpaka 2020 angalia kalender hapa chini ili ujue jinsi gani ya kupanga mambo yako. KARIBU SAANA....

Tarehe za Pasaka kwa miaka 2000-2020
Mwaka Ukristo wa Magharibi
(Kalenda ya Gregori)
Ukristo wa Mashariki
(Kalenda ya Juliasi)
2000 23 Aprili 30 Aprili
2001 15 Aprili
2002 31 Machi 5 Mei
2003 20 Aprili 27 Aprili
2004 11 Aprili
2005 27 Machi 1 Mei
2006 16 Aprili 23 Aprili
2007 8 Aprili
2008 23 Machi 27 Aprili
2009 12 Aprili 19 Aprili
2010 4 Aprili
2011 24 Aprili
2012 8 Aprili 15 Aprili
2013 31 Machi 5 Mei
2014 20 Aprili
2015 5 Aprili 12 Aprili
2016 27 Machi 1 Mei
2017 16 Aprili
2018 1 Aprili 8 Aprili
2019 21 Aprili 28 Aprili
2020 12 Aprili 19 Aprili
Pasaka ya Kikristo ni sikukuu ya kukumbuka kufufuka kwake yesu kristo siku ya tatu baada ya kusulibiwa

0 comments

Post a Comment