MATUKIO 18 YA IBADA YA KUMUAGA MWANAMUZIKI DEBORA JOHN SAID.
Bishop Mwasota akihubiri katika Msiba huo.
Mchungaji John Said ambaye ni mume wa Debora Said akifatilia msiba huo,
Maelfu
ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam na Vijitongoji vyake wamejitokeza
leo kwa wingi kwa ajili ya kumuaga mwanamuziki wa Injili Debora John
Said katika Kanisa lililo katika eneo la Ubungo External.
Maelfu hao ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam wameongozwa na Jopo la Watumishi wa Mungu ambao kwa wingi wao waliweza kujumuika na wakristo hao waliojitokeza siku ya leo.
Sifa za Pekee ziwaendee Wanamuziki Wa Injili walio katika Jiji la Dar-es-Salaam ambao wao kwa sehemu kubwa wamefanyika kuwa watenda kazi katika msiba huo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Marehemu Debora Said alifariki juzi jijini Dar-es-Salaam baada ya kuugua kwa majuma kadhaa kabla Mungu hajaamua kumpumzisha mtumishi huyo na safari yake hapa Duniani. Mazishi ya Mwanamuziki huyo yamefanyika leo katika Makaburi yaliyo eneo la Mabibo External jijini Dar-es-|Salaam
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina lake na Libarikiwe
Mwili wa Debora Said ndani ya Jeneza
Rais Wa Chama Cha Muziki wa Injili Addo November akiwasilisha rambi rambi za Waimbaji wa Nyimbo za Injili.
Badhi wa Wachungaji wakifuatilia kwa makini Msiba huo
Mama Mtume wa Fedha Anne Fernandes akitoa salamu za Rambirambi
Mmoja wa Watumishi wa Mungu akiwasilisha salamu za Rambi rambi
Baadhi wa wahidhuriaji
Sehemu mojawapo ya waliohudhuria
Mwili wa Marehemu Ukiwa ndani ya Jeneza
Picha ya Debora Said
Apostle Lutumba akiwa na mke wake ndani ya Msiba
Wadau wakifatilia
Mzee wa Upako a.k.a Transformer akitoa salamu za Rambi Rambi
Mzee wa Upako Antony Lusekelo akiwa na Mke wa Mtume wa Fedha Mama Annne Fernandes
mmoja wa waliozimia akiwa amebebwa
0 comments
Post a Comment