Ikiwa ni album yake ya kwanza mdada Elzabeth jana ilikua ni uzinduzi wa album yake yenye nyimbo kumi na moja ulio fanyika pale kecko kanisani anapo abudu. ilikua ni siku ya kipekee sana kwani watu walibarikiwa na uimbaji wake na zaidi kucheza kwake, lakini pia watu walibarikiwa na mwimbaji Edson mwasabwite, na mda wa mgeni rasmi ulipo fika watu walishangilia zaidi pale mgeni rasim alipo ongea neno zuri la kushirikiana pamoja kama wana wa Mungu mmoja kwani yeye akiwa ni Muislam. ameona umhimu wa kushiriki pale kama mgeni rasmi. Elizabeth alisema yupo mbioni kufanya video album yake. na mengine mengi msikilize hapo chini kwenye enter view niliyo fanya nae leo, pia utabarikiwa kwa kusikiliza wimbo wake hapo chini. angalia picha za matukio.
Katika safari ya kuingia ukumbini
Edson akiwa na mwimbaji mwingine toka kanisani hapo
Edson mwasabwite akiwa na Matendo Andrew Mwimbaji anae kimbiza kwa vocal
Mwasabwite akimwambia matendo aaaaaaaaah! wewe noma sikuweziiii!!!!!
Mdada aliye hudhulia mahali pale na kununua AUDIO CD hiyo anaitwa ORIVER a.k.a OREE
Akifurahiaaa!
Mtu nilie mkuta leo akiwa na CD ya Elizabeth
Watu wakiwa makini kuangalia kinachoendelea!!
https://soundcloud.com/matendo/enter-view-kwa-njia-ya-sim-na
https://soundcloud.com/matendo/hujaanza-wewe-audio-by
Oree akisoma idadi ya nyimbo zilizopo humo
Mgeni rasmi
Mgeni rasmi akiahidi milion moja
Mwonekano wa album hiyo
katika pozi
0 comments
Post a Comment