Friday, March 21, 2014

ANGALIA MAJANGA YA MASANJA MKANDAMIZAJI HAPA!.......

Akiwa ni mmoja wa waimbaji wakubwa wa mziki wa injili hapa bongo masanja mkandamizaji amekamilisha nyimbo nyingine pale kwa ECK PRODUCTION.chini ya mtayarishaji ECK. nyimbo hiyo yenye maudhui ya lawama eti anamlaumu Adam na Evva sijajua kwa nini ana laumu lakini endelea kutembelea blog hii nitakuletea nyimbo hiyo punde. angalia picha za kisela alizo piga akiwa studio na vijana wenzie.

 Akielezea kitu na mimi nikimvizia kupata picha isiyomaandalizi ha ha ha ha !!!!!
                               Pozi la picha na masanja mkandamizaji
                                                  Akiwa katika pozi la picha
       Bonny mwaitege siku nyingine tofauti na hii ya masanja akiwa studio hapo.

0 comments

Post a Comment