Hussein anajiingizia kipato kwa kutumia zeze ambalo
limetengenezwa kwa ngozi ya kenge.
Katika pozi na mkari wa zeze a.k.a. idzedze
Na mimi nililipiga kidogo lol
Akiangalia number za simu nilizo mpa
Hii ndio ngozi ya kenge inayo imba
Nikiingalia uimara wake
0 comments
Post a Comment