Wednesday, August 20, 2014

KUMBE YEYE NA YOM DAM DAM ILA TUZO ZA {AGMA} TUNAENENDA KWA IMANI! NANI KASEMA? SIKILIZA HAPA....

Rapa ambaye kama angekua ni mwana soka tungemwita mchezaji bei ya juu sana tanzania kwa sasa GAZUKO ambaye ndiye rapa wa pekee tanzania aliye ingia kwenye tuzo za AFRICA GOSPEL MUSIC AWARD kimsingi sina kumbukumbu kwenye kabati yangu ya kumbukumbu kama kuna mwana gospel hip hop mwingine aliye wahi kuingia kutoka hapa tanzania na ndipo hapo namwita rapa huyu ni wa bei ghali sana kwa sasa, akiwa ameambatana na akina dada mashuhuli saana tz na africa Rose muhando na Christinah shusho katika vipengele tofauti nao wakiwa katika vinyang"anyilo hivyo, Gazuko amesema kwa imani anaamini kua ndugu jamaa na marafiki watakua wamempigia kura za kutosha kushinda tuzo hizo kwahiyo ana subiri matokeo hapo tar 24/8/2014 endapo atakua ameshinda atasafiri kwenda kuifuata tuzo hiyo. akiongelea swala la yeye na member mwenzie wa YOM ambaye hivi karibuni inasemekana kuna sntofahamu ilitokea kati ya rapa hao wawili SIWEZI KUONGELEA SWALA HILO KWA SASA.
akiongelea  siku ya maadhimisho ya mwaka mmoja wa wana YOM tanzania gazuko amewasisitiza watu kufika kwa wingi kumonyesha ubabe shetani pale tabata tar 24/8/14.
MUNGU AKUBARIKI GAZUKO MUNGU AKUBARIKI SANA MDAU WANGU UNAETEMBELEA HAPA .....
                          Gazuko akiwa clouds tv kwa interview
                         Tamasha la mwaka mmoja wa YOM
                         Gazuko akiwa interview East africa tv
                                    Gazuko akiwa studio na Mwasabwite

                  Matendo Andrew the gospel singer himself
                   Matendo Andrew atakuwepo tar 24 pale tabata
                    kiafande zaidi siku hiyo itakua patashika

0 comments

Post a Comment