Monday, June 23, 2014

SIKILIZA ALICHO KISEMA SARAH KAPIGA JUU YA ACOUNT YAKE YA FACEBOOK. MATENDO ANDREW,BASHANDO NA GAZUKO WAONGELEA,

SIKILIZA KWA MAKINI EXCLUSIVE INTERVIEWS HIZI WAKIONGELEA SWALA LA ACOUNT YA SARAH KAPIGA KUHULKIWA, NI SARAH,BASHANDO,GAZUKO &MATENDO ANDREW. Ikiwa ni kawaida kwa sasa matapeli wa acount za facebook za watu maarufu kuzi iba a.k.a kuzi hulk dada ambae ni mtangazaji wa praispower SARAH KAAPIGA acount yake ili halkiwa na sasa inazidi kuchukua sura mpya kimatumizi, matapeli walianza kwa kutumia acount hiyo kwa kuomba ushauri ashauriwe nini afanye baada ya kupata mkopo kwenye taasisi fulani acount hii ili post kwenye timeline yake lakini haikuishia hapo matapeli hao wali wain box watu tofauti wakiomba ushauri nini wafanye huku wakiweka na link ambayo kimsingi uki i click link hiyo kutoka hapo acount yako itakua imesha hulkiwa. kwa sasa matapeli hao wameanza kutumia mbinu mpya kabisa ya kum in box mtu mwenye wafuasi wengi au mtu maarufu kwa kumwambia mambo machafu na kuweka link hiyo ambapo usipo kua makini utataka kuingia ili uone kilicho ndani kwani hukuacha dilema ili ushawishike kuingia kwa link hiyo. tafadhali angalia hapa chini njia mbili wanazo tumia hawa jamaa kua makini saana na hawa watu pleaseeeee.
                      NJIA WANAZO TUMIA..
Hii ni msg ya kwanza kutoka kwa Matendo ANDREW kwenda kwa SARAH kabla acount haija hulkiwa.
  • Matendo Andrew Mgeni

    Ukiwa kama rafiki yangu nakuomba uniunge mkono kwa kununua nyimbo zangu za injili na kua mlio wa mpigaji. tafadhali tuma 28241 kwenda 15007, au 28242 kwenda namba 15007. utapata nyimbo NDANI YA YESU NA USINIPITE. ASANTE NA MUNGU AKUBARIKI. KWA WATU WA TIGO PEKEE.
  • June 3
  • Sarah Kapiga
    Sarah Kapiga

    NAHITAJI USHAURI WENU GUYS. BE SERIOUS. Juzi nilikua napitia Ukurasa wa Vodacom Tanzania nikakuta wameweka Tangazo lao la M-PESA lenye hiyo picha wakihamasisha watanzania wajiunge na Taasisi ya Utoaji mikopo itwayo SOCIAL-COMPANY ambayo Vodacom wameingia nao mkataba. Hii Taasisi inatoa mikopo bila RIBA. Nilisoma tangazo lao na kupuuzia nikawa najua ni matapeli hao wametengeneza page feki ya Vodacom nikaipotezea, sasa jana asubuhi nikakuta tena Tangazo katika ukurasa wa ukweli wa msanii Lady Jaydee nae kapewa dili la kuhusu mikopo ya social-company.wapka.mobi kufanya matangazo pia sikua na uhakika nayo. Usiku wa jana huo huo nikaona sasa Tangazo rasmi katika TV ilikua TBC1 walirusha Live hilo Tangazo katika Taarifa ya Habari za kibiashara wakatoa mpaka website ya Online mtu anaweza kujiunga na akapatiwa mkopo wa pesa na atarudisha mkopo wa pesa bila kua na RIBA halafu marejesho yao mazuri hawambani mkopaji. Nikasema ngoja nijaribu kujiunga nione je? Niukweli wanatoa mikopo?? Nikafungua website yao jana usiku http://social-company.wapka.mobi nikasoma maelezo yote! Kuna fomu nikaikuta nikaijaza, nilipoijaza fomu nikapokea ujumbe kua nimefanikiwa kujiunga natakiwa kulipia ada ya Uanachama Tshs. 84.000 (ELFU THEMANINI NA NNE) ili maombi yangu ya mkopo yaweze kuidhinishwa nipatiwe mkopo. Nikawa naogopa kulipia nisije kutapeliwa bure! Sasa leo Asubuhi kuna jamaa yangu kumbe nayeye ameshawahi kujiunga na wakampatia kweli mkopo nikamuelezea akanitoa hofu! Nikaona kwani elfu84 na kitu gani?? Ngoja nijaribu nikawatumia elfu84 katika M-PESA wakanitumia ujumbe kua wameipokea pesa nisubirie ndani ya dakika30Nikasubiria, kweli wakanitumia mkopo kupitia M-PESA asubuhi hii ya leo muda si mrefu, niliomba mkopo wa Tshs. 3,000,000 (Million 3) hapo nilipo siamini friends. #USHAURI: Nifungue mradi gani nina hizi Million Tatu, kwani nilikua sijajipanga nilifanya kama najaribu tu sikua na imani kama ntapata kweli huu mkopo nimejaribu wamenipa! Sijajua biashara ipi ambayo inalipa sana?? Please nisaidieni Mawazo yenu nawaomba! Utani tuweke kando nipo serious katika suala hili nahitaji ushauri wenu. Pia kwa yoyote ambae atahitaji kutembelea tovuti ya hawa jamaa wa mikopo, bonyeza hapa: http://social-company.wapka.mobi
  • Matendo Andrew Mgeni
    Matendo Andrew Mgeni

    Usirudie tena kwangu plZ endelea na utapeli wako ila usisahau Mungu anachukia dhuluma. Asante.
  • Today
  • Sarah Kapiga
    Sarah Kapiga

    Habari yako! Samahan kwa usumbufu pia utanisamehe endapo kama wowote ! Hivi hizi habari zinazoenea katika timeline view zinakuhusu wewe eti ni shoga kupitia open post kwenye link ya facebook viewpost page ambazo zinasambazwa na mdada mmoja anaitwa FATUMA KASSIM anadai et wewe ni shoga na kaandika mambo kibao kuhusu wewe na kaweka namba zake za simu tumejaribu kumpgia anatoa ushuhuda anasema eti nikweli wewe ni shoga. Je, kuna ukweli katika hili au kaamua kukuchafua tu? Ama mna bifu zenu binafsi? Maana anatuma Link za habar hiyo katika videwpost page ya facebook login na mpaka picha kaziweka unafirwa na sura niyakwako inaonekana! Sina hakika sana maana m2 anaweza akaamua hata kuedit picha ilimrad akuchafue2 ndo mana nimekuuliza nijue kama nikweli au sio kweli nakama nikweli wewe shoga sio vizur kaka yangu acha huo mchezo. Kama bado hujazipata taarifa hizo pitia viewpost login page utaiona timeline yake na utaona alichokiandika kwenye ukurasa wake kuhusu wewe. bofya haya maandish ya bluu www.facebook-post.wapka.mobi hapo ndo kakuandika kua wewe ni shoga, msenge na unatafta wanaume kaweka mpaka picha zako unafirwa cjui kakuedit picha au vp, kua makini habar zitaenea kaka wakuchafue magazetini.

    Matendo Andrew Mgeni

    Asante kwa taarifa lakini Mimi sio ukitaka kuamini nitafute. Halafu hyo link umekosea mbona haifunguki. Nataka nimpate huyo mtu nipemsaada Wa kuonana nae hata kupitia we we as ante. Wako katika kristo Yesu aishie na kutawala. Ameen
     MBINU HII YA MWISHO IMETUMIKA PIA KUTAKA KU HULK ACOUNT YA MTUMISHI WA MUNGU APOSTLE BASHANDO. 
    TAFADHARI KUA MAKINI SAANA JUU YA HILI.
                                  Matendo andrew

     picha inayo tumika katika cover ya acount hiyo

                                    Apostle bashando
                                             bashando
                                     matendo andrew
     Matendo andrew akiwa uplands radio {njombe} kwa interview
     Angel matendo. mwanae matendo andrew
  • Hii ni picha inayotumika kama profile picture kwenye acount hiyo iliyo hulkiwa ya sarah kapiga.
                        KUA MAKINI NA KITU HII. 

0 comments

Post a Comment