Monday, March 24, 2014

PICHA ZA MATUKIO PALE BALAKUDA KIGAMBONI WAS AMAIZING........



 
               Kukosekana kwa umeme haikua tatizo
      Umeme wa jenereta ulisaidia kwa kiasi chake vijana wakijipanga kukamua
 Wakali wa live music wakishuka stejin kwa huzuni baada ya kumaliza kuimba kwa shida saana {umeme}
                              Wadau wakienda sawa
                     Ni mke wa mtu fulani ila nimemsahau
                   Mcheza miduku ya yesu aki show love na mimi
 Mda wa sadaka weeeeee wakaletwa mbele wadada warembo eti ndio waimbishe nyimbo kavukavu {umeme}
                                 Kama kawaida
                                      Mbele kwa mbele
                    Mchungaji na mkewe waki taniana kidogo
                      Yuuuuuule MKE WA MTU SIJUI NANI VIIIILE
                Mwana wa gospel hip hop kabla ya ku chakaza jukwaa!
                      Mwimbaji MILIAN LUKINDO alikuepo   joh!
 Hawa jamaa ni Matendo andrew mgeni ni gospel singer na Jackison Mgeni nae ni Gospel singer walikuepo

1 comments

Unknown March 24, 2016 at 9:45 AM

Bwana azidi kukuinua mtumishi, kwa kazi njema, binafsi nimefarijika Na nina jivunia kupata jembe jipya la yesu kutoka Makadupa Isimani Iringa Tanzania, Tutazidi kukuombea mpendwa @ Matendo Endrew uzidi kusonga mbele katika kazi hii njema ya kumtangaza Bwana wa Mabwana Yesu Kristo, Ubarikiwe mtumishi kwa kushea nami najua ni upendo.

Amen.

Post a Comment