Mwanaharakati mstari wa mbele kabisa katika project ya YOM mh: Rungu La YESU amefanya exclusive interview na matendomgeni.blogspot.com kuijulisha jamii juu ya ujio wake kwamba mwanzoni mwa mwezi wa saba nyimbo yake inayo kwenda kwa jina la ilikua zamani itakua mtaani zaidi sikiliza interview hiyo niliyo fanya nae leo tar; 18/june 2014. kwenye background ni nyimbo ya mwimbaji MATENDO ANDREW anayefanya kazi ya uimbaji kwa karibu saana na YOM project.
RUNGU KATIKA HUDUMA
RUNGU LA YESU KTK POZI NENE
RUNGU LA YESU AKIWA NA MTANGAZAJI MSTAARABU TOKA WAPO RADIO
SILAS MBISE
Wednesday, June 18, 2014
EXCLUSIVE ENTERVIEW WITH RUNGU LA YESU. SIKILIZA ALICHO KISEMA JUU YA UJIO WAKE NA YOM KWA JUMLA..
Posted by
Unknown
at
9:57 PM
Tags :
0 comments
Post a Comment