Baada ya Rungu la yesu kuzindua album yake na sasa ni zamu ya Apostle Bashando, wote wakitokea katika familia ya Yesu okoa mitaa yaan {YOM} Uzinduzi utafanyika TEGETA, sikiliza exclusive Enter view ujue kila kitu kuhusu uzinduzi huo.. ni tar 25 may 2014.
Ya kwanza ni enter view kati ya Matendomgeni.blogspot.com na Apostle Bashando. na ya pili ni nyimbo ya Apostle Bashando na ya tatu na nne ni nyimbo za Matendo Andrew ambae atakuepo siku ya uzinduzi wa Apostle Bashando!
Apostle Bashando katika poz reeeeef!!
Matendo Andrew
0 comments
Post a Comment