Friday, April 25, 2014

MAPINDUZI KWENYE GOSPEL MUSIC KWA MARA YA KWANZA NYIMBO 20 KWENYE ALBUM MOJA .....SOMA HAPA......

                                          MATENDO ANDREW AKIWA KATIKA POZI

Wengi tumezoea kuona waimbambaji wa muziki wa injili wakitoa album zenye nyimbo zisizozidi nyimbo nanae lakini mtazamo umekuwa tofauti kwa mwimbaji huyu anayefahamika kwa jina la Matendo Andrew ambaye amefikia uamuzi wa kutengeneza album yenye nyimbo 20
Blog hii ilibahatika kuonana na Matendo na kufanya naye mahojiano.


YAFUATAYO NI MAHOJIANO TULIYOFANYA NA MATENDO ANDREW HUKU AKIELEZEA KILA WIMBO MMOJA MMOJA NA NYIMBO NUSU NUSU KUTOKA KATIKA ALBUM YAKE YA NDANI YA YESU HAPA ZIPO NYIMBO 18 ILI KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD FUATA KILA LINK YA WIMBO.

0 comments

Post a Comment