Wednesday, May 7, 2014

HARAMBEE YAANZISHWA KUMCHANGIA EDSON MWASABWITE TAFADHALI SOMA HAPA...

Mkali wa wimbo wa nikwaneema na rehema ndug Edson mwasabwite amepata ajari jumamosi ya tar 3/ may
katika mkoa wa morogoro akiwa safarini, ajari ilitokea pale alipo jaribu kuwakwepa watu walio kua na pikipiki maarufu kama bodaboda na ndipo gari ilipo mshinda na kuchochora na kugonga ukuta,
 

chama cha mziki wa injiri tanzania CHAMUITA kimeanzisha harambee ya kumchangia bwana Edson mwasabwite japo hari yake ni nzuri lakini abiria alio kua nao katika gari yake hiyo  aina ya I.S.T NO: T 413 C RM hari zao sio nzuri. ukiwa mpenzi wa mziki wa injiri na mpenzi wa mwasabwite unaombwa kumsaidia kwa namna yeyote kama ni hela
MAOMBI, na pole ya mdomo. unakaribishwa kwa mawasiliano haya 0717 70 34 15.




0 comments

Post a Comment