Wednesday, December 18, 2013

MV MAGOGONI SOMA HAPA ! BREAKING NEWS!


Kwa taarifa tulizo zipata hivi punde nikwamba hakuna mtu aliye fariki au kujeruhiwa katika patashika hiyo ya MV kigamboni kuzima na kupoteza mwelekeo na abiria woote wamesha toka nje ya boat isipo kua magari na mizigo mingine ndio bado wanaangalia uwezekano wa kutoa nje! SWALI LA MSINGI vivuko hivi vinakaguliwa juu ya suala la service? mimi na wewe pengine hatujui lakini wahusika muwajibike tutauana OHOOOOOOOOOO!

0 comments

Post a Comment