Monday, December 23, 2013

shangaa na hii basi kama huja wahi sikia au ona!




nakumbuka miaka ya nyuma makanisa yalikua ni mawili tu yaani roma na baadaye luther lakini siku zilipo enda makanisa yaliongezeka na kua meeengi saana japo yalipo anzishwa kuna mengine yali bezwa saana na watu kusema makanisa ni mawili tu japo roma nao wakisema kanisa ni moja tuu. lakini mpaka sasa tumezoea makanisa kila kukicha yanazaliwa yenye kwenda yana kwenda ya kufa yana kufa nice mpaka sasa hivi utamaduni wa makanisa una fifia na watu wana amini kitu kinaitwa huduma ya mtu fulani mimi naona poa tuu ilimladi haipo nje ya matakwa ya mungu wetu aliye tuumba. sasa hivi karibuni kumetokea story mob sana kuna watu hawaafki na kuna watu kama mimi tuna afiki kitu hii. hii kitu ni club ya usiku ya gospel yaani ni gospel full nyama choma soda juis n.k hii ipo pande za mbezi ambapo vijana wa umri wa miaka 19 hadi 25 hasa ndio ina wahusu lakini haina maana wewe ulie zaidi unazuiliwa. kikubwa ni uwepo wa mungu mahari pale mtuimshi hutatakiwa kuvaa kihuni mavazi ni yale yenye uwoga mungu wetu. ambapo hutaruhusiwa kuingia na kilevi chochote. na pia disko litakua likipelekwa mpaka saa kumi alfajiri ambapo katikati ya disko watu wataombewa na walio tayari kuokoka wataokoka, mimi kama mwandishi wa habari hii naunga mkono kitu hii na mungu amtie nguvu aliye pata wazo hili kwani  mimi sitofautishi na mikesha ambayo hua tuna enda tuna toa sadaka n.k sasa hapa itakua ni kula bata kwa kwenda mbele tukilindwa na roho mtakatifu huku tuki share mawazo ya hapa na pale naamini kuna watu wa dini mbali mbali watafika kwenye disko hili ambalo kwa tanzania hii ni mara ya kwanza ja po nchi za wenzetu kitambo mambo haya yapo na yana surpotiwa kama vitu vingine vyenye tija kwa jamii. big up mwanzilishi


hizo hapo ni baadhiya picha za klabu za usiku za gospel za nchi zilizo endelea.

0 comments

Post a Comment