Wednesday, December 18, 2013

BREAKING NEWS MV MAGOGONI YAPOTEZA MWELEKEO!


Kivuko kinacho tumika kuvushia abiria pamoja na mizigo kutoka posta kwenda kigamboni kimepoteza mwelekeo kikiwa na abiria, magari na mizigo mingine, ni baada ya injini kusemekana kuzima, mpaka mda huu hatuja bahatika kupata picha harisi za  matukio na mwandishi wetu yupo katika harakati za kufika eneo la tukio. endelea kufuatilia hapa hapa kwa taarifa zaidi.

0 comments

Post a Comment