na akina dada wakali kwa kucheza kutoka kanisa hilo la KKKT hapo vingunguti. picha ya juu kushoto ni mwimbaji maarufu CHARS THOBIAS
Katika pozi na Edson huko vingunguti.
Usafiri anao miriki Edson Mwasabwite{Toyota {i.s.t} mwenyewe husema ni kwa neema tu! hahahahaha!
Mwimbaji wa nyimbo za injiri Edson Mwasabwite ambaye ndio mkali alie imba wimbo wa nikwa neema tu
amesema kwa jumla uimbaji ndio imekua kazi yake inayo mfanya anaishi. kwa maana ya kuingiziwa kipato
na kazi ya mziki. hivyo msimamo wake ni kwamba mtu yeyote kikundi au kampuni hata shughuri yeyote akihitajika kwenda kuhudum atahitaji kuingiziwa malipo yake kabla ya kwenda kuhudum ili kama hasara ikitokea yeye isimhusu! aliyasema hayo tulipo kua tukibadilishana mawazo katika kanisa la kiinjiri la kilutheli hapo vingunguti. anasema mimi ukinihitaji nilipe ndipo nije!
0 comments
Post a Comment