Tuesday, June 3, 2014

TAFADHALI NAOMBA DAKIKA ZAKO TANO SIKILIZA HOTUBA HII MAKINI NA MUNGU AKUBARIKI SANA....

Baada ya uzinduzi wa albumu yake ya NAONGOZWA NA ROHO Apostle Bashando ameendelea kua baraka kwa wakazi wa dar es salaam na maeneo ya karibu kwa kuhudumu kwa njia ya uimbaji gospel hip- hop na hiyo ni hotuba yake kwa yeyote aliye na mapenzi ya dhati na kazi ya Mungu. aisikilize na aifanyie kazi
MUNGU IBARIKI GOSPEL HIP - HOP MUNGU IBARIKI YOM- PROJECT MUNGU MBARIKI APOSTLE BASHANDO NA HUDUMA YAKE.
                 Akiwa katika huduma somewhere ni Apostle bashando.
 Album ikiwekwa wakfu na watumishi wa Mungu kutoka sehemu mbalimbali..
Hii ni logo ya moja ya kampuni inayo fanya kazi kwa karibu na Apostle Bashando

0 comments

Post a Comment