Wakati kati ndiye Mnene makweta.
Monday, June 9, 2014
Harakati na mapinduzi ya gospel music yanaendelea kwa kasi kubwa Arusha wamejibu mashambulizi ya wana dar es salaam
Posted by
Unknown
at
11:38 PM
Kwa mara ya kwanza nilimuona akifanya mashambulizi ya hatari pale kwenye uzinduzi wa NAONGOZWA NA ROHO WA APOSTLE BASHANDO. ooooh my god jamaa Mungu kampa vingi ikiwa ni pamoja na umbo lake. mtumishi huyu ni moto mkari akishika mic na kuuzungumzia ukuu wa Mungu kwa njia ya uimbaji sasa angalia video hizi utaamini maneno yangu MUNGU akubariki MTUMISHI wa Mungu Mnene Makweta. wadau tunasubiri kwa hamu album nitafanya nae interview juu ya swala la album na itakujia hapahapa.
Wakati kati ndiye Mnene makweta.
Wakati kati ndiye Mnene makweta.
Tags :
1 comments
The Borgata is a gambling establishment | KLH
The Borgata is a gambling establishment, an MGM Grand Hotel in 속초 출장샵 Atlantic 서산 출장마사지 City, 나주 출장안마 The Borgata Hotel Casino & Spa is a 화성 출장샵 new name 1xbet login for MGM.
Post a Comment