Zimebaki siku nne tu ili moto uwake pale MSB HALL shetani ni lazima akimbie mbio za vijiti watumishi wa Mungu kibao watakuepo Akiwemo mkari wa gospel RNB Matendo Andrew, usipange kukosa kabisaaa.
ni bureeee hakuna kiingilio we njoo na rafiki zako woote tumwimbie Mungu wetu atupaye vyote bureeeeeee.
je! hutamani kumwona Matendo Andrew akionyesha jinsi gani watu huimba?
Matendo Andrew
0 comments
Post a Comment