Posted by
Unknown
at
12:26 AM
Siku zimekaribia saana ni pale katika ukumbi wa MSB HALL MBUYUNI ni hatua chache kabla huja fika tegeta ni kuanzia saa nane mchana hadi saa mbili usiku angalia msululu wa waimbaji katika tangazo hilo hapo chini.
Na huyu hapa chini ni Matendo Andrew ni mwimbaji wa aina zote za mziki wa injili
ni hatareeeeee usikose kuja kumwona
Matendo Andrew
Tags :
0 comments
Post a Comment