Friday, February 7, 2014
The gospel hip hop chorus killer! look here!
Posted by
Unknown
at
12:36 AM
Mwana gospel ambae anatabiliwa makubwa sana mwaka huu 2014 kwa uimbaji wa hari ya juu sana wa korasi za nyimbo za gospel hip hop ! lakini r&b pia. album yake mda wowote toka sasa! kwa mwenye uhitaji wa korasi unaweza kumtafta kwa njia ya facebook kwa jina la Matendo Andrew. ukawasiliana nae
hafanyi kwa malipo ya aina yeyote, nimekuletea habari hii kwako ili umpe na mwenzako ili tuzidi kusongesha injiri mbele. MBARIKIWE SAANA.
Tags :
0 comments
Post a Comment