Monday, February 24, 2014
JE! UMEKUA UKISIKIA TUU NYIMBO USINIPITE? CHEKI VIDEO HAPA!......
Posted by
Unknown
at
3:38 PM
Mwwimbaji Matendo Andrew album yake ikiwa imekamilika kwa audio na video
na punde utafanyika uzinduzi mkubwa na baadae album kupatikana sokoni, video
zimefanyika zanzibar kwenye kwenye location tofauti ili kuleta utofauti na video nyingine
KARIBU UANGALIE.
Tags :
0 comments
Post a Comment