Monday, December 30, 2013

ANGALIA DHARAU ZA WANAMZIKI WA GOSPEL NA BONGO FLAVOR!

Ikiwa imetangazwa saaana kwenye vyombo vya habari kwamba siku ya leo tar  30 dicember kutakua na mkutano wa wasanii woote tanzania pale vijana kinondoni. lakini kamera zetu zimeshuhudia umati mkubwa wa wasanii lakini wengi kati ya hao ni under ground na wakifuatia wasanii wa movie ambapo wengi walionekana ambao siwezi kuwataja kwa majina, kilicho nifanya niseme dharau ya wana bongo flavor ni kitendo cha kuwepo wachache na watu wa gospel ndio sijui kama walikuepo zaidi yangu, sasa sijajua kama wana leta ulokole mpaka kwenye mambo ya msingi? maana usikute mtu hajaja et kwa sababu pale wana uzaga bia hahahahah! any way Mungu awape uwezo na bidii wadau woote tulio kutana pale ili siku moja tuliyo ya jadili yafike pazuri na tufurahie karama tulizo pewa na Mungu. na hii ni taarifa kwako ambae hukuja tar. 23 january tunakutana pale pale vijana kwa ajiri ya maandamano ya amani yatakayo elekea wizara husika. sasa usije halaf useme hukusikia.


 Wadau wakiwasikiliza viongozi.
 Cheni akiwa katika eneo alilokua amekaa.
 Moja ya wachangiaji na walio uliza maswali na kutotaka kupigiwa makofi anapo ongea
 Alikua mwiba saana huyu jamaa
 Kazi ikawepo kwa huyu kiumbe pia
 Hapa ni kabla haja pewa nafasi ya kwenda kuongea staa wa movie na pia produser
 Material ambayo ameyapanga kuya toa pale mbele.
 Huyu jamaa nadhani ni mwana sheria maana anaonekana kuzijua sheria kuliko sheria zenyewe zinavyo jijua.
 Mmoja wa wadau wa Mziki na film na ni mmiliki wa kampuni ya kitumbalomo film iliyopo kiwalani ni huyo mwenye blauzi ya dam ya mzee anaitwa mama NCHIMBI.
 Huyu mwenye fulana nyeusi ni yusuph mlela ambae alijitenga kabisa na mastaa wengine ambao wengi walikaa pamoja.
 Dogo huyu aliongea kidogo lakini ni  his point is very nice.mwangalie
Mamaa wa ukweli Asha baraka alikua mtu wa kwanza kuuliza na kuchangia.

0 comments

Post a Comment