Thursday, November 28, 2013

www.proinpromotions.comANGALIA KAMPUNI YA KITANZANIA INAVYO FANYA MAPINDUZI MAKUBWA........

Zamani ilizoeleka ukisikia kampuni basi ni ya wageni hasa kwenye upande huu wa film lakini kwa sasa watanzania wamezijua fursa zinazo wazunguka na kujitoa kwa dhati kuwekeza katika kila sehemu ambayo 
ambapo zimekua zikiwapa kipau mbele vijana wa kitanzania kuwaajiri na kuhakikisha maisha bora tunayaleta wenyewe bila kutegemea upande fulani eti utuwezeshe. PROIN ni kampuni ya Mzawa yenye wafanyakazi wazawa wachapa kazi wenye weledi kila mmoja na taaluma yake. BIG UP PLOIN. mungu awabariki mzidi kusaidia na kuongeza pato la taifa.

0 comments

Post a Comment