Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amepata ajali baada ya gari
alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma.Chazo cha ajali
kilitokana na yeye kumgonga kijana
aliyekua akiendesha basikeli na matokeo yake gari aliyokua akiendesha
kupinduka mara 3.Kwa sasa
Msama anapatiwa matibabu katika hospitali moja mjini Dodoma.
Picha zote kutoka kwenye Istagram ya mchekeshaji Steve Nyerere
Alex msama akiwa hospitalini baada ya ajali.Kulia ni mwenyekiti wa bongo movie Steve Nyerere
0 comments
Post a Comment